WAJUMBE WA UNESCO WAKAGUA MAENEO YA HIFADHI YA JIOLOJIA YA NGORONGORO LENGAI UNESCO GLOBAL GEOPARK.

Na Mwandishi Wetu Wataalamu wa UNESCO wamewasili nchini mapema wiki hii kwa ajili ya uthibitishaji upya (Revalidation) wa Hifadhi ya kijiolojia ya “Ngorongoro Lengai UNESCO Global Geopark” na kutembelea maeneo mbalimbali ndani na nje ya Hifadhi ya Ngorongoro. Wakati wa ziara yao ndani na nje ya Hifadhi hiyo ujumbe huo ulitembelea eneo linalojengwa Makumbusho ya […]
NCAA YASHIRIKI WARSHA YA KUHAMASISHA UANZISHWAJI WA JIOPAKI KATIKA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI.

Na Mwandishi wetu, Addis Ababa, Ethiopia Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) inashiriki warsha ya kimataifa iliyolenga kuhamasisha uanzishwaji wa hifadhi za jiolojia (UNESCO Global Geoparks) katika nchi za Afrika Mashariki iliyoandaliwa na Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) kwa kushirikiana na Wizara ya Utalii ya Ethiopia. Warsha hiyo inayofanyika […]
International Women’s Day 2025

Rights. Equality. Empowerment. On 8 March 2025, the Global Geoparks Network joins the campaign of the United Nations and UNESCO to celebrate the International Women’s Day under the theme, “For ALL Women and Girls: Rights. Equality. Empowerment.” This year’s theme calls for action that can unlock equal rights, power and opportunities for all and a […]